🌸 Seti ya Pajama ya Wanawake 🌸
Jipatie seti hii ya pajama yenye muundo wa kipekee wa vipepeo, iliyotengenezwa kwa kitambaa laini na kinachopumua kwa ajili ya faraja yako usiku. Ina top yenye mikanda myembamba (spaghetti straps) na short yenye kiuno cha lastiki, ikikupa muonekano wa kupendeza na wa kustarehesha. Inapatikana kwa rangi na saizi tofauti.
📦 Makadirio ya nauli: 1,000 TZS
Agiza sasa! 🔥
No review given yet!