0 0
0
No products in the cart.

Dry Iron

TSH27,400.00

RAF Dry Iron R.2003 – Chaguo Lenye Ufanisi kwa Kila Nyumba

RAF Dry Iron R.2003 ni pasi ya kisasa na yenye ubora maradufu yenye 1200W inayowezesha shughuli za kunyoosha kwa haraka na matokeo madhubuti  Imeundwa kwa teknolojia ya Pro-Heat kuhakikisha kudhibiti joto kwa urahisi, hivyo kuondoa mikunjo kwa haraka na kwa usahihi.Pasi hii ni nyepesi, rahisi kushikilia na inafaa kwa matumizi ya kila siku nyumbani,hotelini au ofisini.

Chagua RAF Dry Iron R.2003 – Ishi maisha bila mikunjo, haraka na kwa urahisi!

(Available)
🚢
Ship Delivery: May 16 - May 31
Quantity

SKU: SF-2443-1VTA

Categories: Home Improvements

RAF Dry Iron R.2003 – Chaguo Lenye Ufanisi kwa Kila Nyumba

Maelezo ya Bidhaa:
RAF Dry Iron R.2003 ni iron ya kisasa yenye 1200W inayowezesha kunyoosha kwa haraka na matokeo zaidi bila kubaki kwa mikunjo. Imeundwa kwa teknolojia ya Pro-Heat kuhakikisha kudhibiti joto kwa urahisi, hivyo kuongeza unadhifu kwa haraka na kwa usahihi.Pasi hii ni nyepesi, rahisi kushikilia na inafaa kwa matumizi ya kila siku nyumbani au ofisini.

Sifa Kuu:

  • 🔌 Nguvu: 1200W kwa joto na kasi bora
  • 🌡️ Easy Temperature Control: Dhibiti joto kwa urahisi kulingana na aina ya kitambaa
  • 🧵 Smooth Finish: Inaacha nguo laini na bila mikunjo
  • ⏱️ Fast from Start to Finish: Iron haraka kuanzia mwanzo hadi mwisho
  • 💡 Lightweight & Ergonomic Design: Rahisi kushikilia na kutumia kwa muda mrefu
  • Durable & Reliable: Inakaa muda mrefu na inatoa matokeo thabiti

Faida:
✔ Inapunguza muda wa kuoka nguo
✔ Haina kuharibu nyuzi za nguo
✔ Rahisi kwa matumizi ya nyumbani na ofisini
✔ Chaguo la kibiashara kwa wale wanaotaka iron ya gharama nafuu na yenye ufanisi

Chagua RAF Dry Iron R.2003 – Ishi maisha bila mikunjo, haraka na kwa urahisi!



Add your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Please login to write review!

Upload photos

Looks like there are no reviews yet.

Live Chat Online

Hi there! How can we help you today?

Powered by Kar Live Chat
Your experience on this site will be improved by allowing cookies Cookie Policy