SHIPPING & LOGISTICS PROCEDURE
STAGE ONE: Customer Order Placement (WebApp Ordering)
Mteja huanza safari ya uagizaji kwa kuweka oda kupitia Masha Global Link WebApp.
Mchakato huu unahusisha:
- Mteja kuchagua aina ya huduma (Air Freight / Sea Freight / Groupage / Full Container)
- Kujaza taarifa za bidhaa:
- Aina ya bidhaa
- Kiasi (quantity)
- Uzito au size (kama inajulikana)
- Link ya bidhaa (Alibaba, 1688, Taobao n.k)
- Kuchagua huduma ya:
- Sourcing (kama hana supplier)
- Shipping Only (kama tayari ana supplier)
Baada ya ku-submit oda, mfumo huzalisha Order ID kwa ajili ya ufuatiliaji.
STAGE TWO: Supplier Sourcing & Verification (China)
Kwa wateja wanaohitaji sourcing, timu ya Masha Global Link China Office:
- Hutafuta supplier sahihi na wa kuaminika kupitia:
- Alibaba
- 1688.com
- Taobao
- Made-in-China
- Pinduoduo
- Hufanya supplier verification:
- Ubora wa bidhaa
- Bei ya kiwandani
- MOQ
- Lead time
- Huwasilisha quotation kwa mteja kupitia webapp au WhatsApp/email kwa uthibitisho.
Baada ya mteja kuridhia, hatua ya manunuzi huanza.
STAGE THREE: Purchase & Shipping Instruction
Baada ya bidhaa kununuliwa:
- Supplier huomba Shipping Mark (Jina la mteja + Namba ya simu)
- Masha Global Link humpa supplier Official China Warehouse Address (Air au Sea)
- Supplier hutuma mzigo kwenda Masha Global Link China Warehouse
Supplier atatoa:
- Chinese Tracking Number
- Tarehe ya kutuma mzigo
- Invoice ya supplier (kama inahitajika)
STAGE FOUR: China Warehouse Receiving & Inspection
Mzigo unapofika kwenye warehouse yetu China:
- Timu hupokea na kukagua mzigo:
- Idadi (quantity)
- Aina ya bidhaa
- Uharibifu wowote
- Mzigo husajiliwa kwenye Masha Global Link Logistics System
- Mteja hupokea notification ya mzigo kufika warehouse
Huduma za ziada (kama mteja ameomba):
- Repacking
- Consolidation (kuchanganya mizigo)
- Labeling
- Quality check
STAGE FIVE: Cargo Invoice & Payment Approval
Baada ya usajili wa mzigo:
- Timu hutengeneza Cargo Invoice inayojumuisha:
- Aina ya bidhaa
- Uzito/CBM
- Njia ya usafirishaji (Air/Sea)
- Gharama ya shipping
- Gharama za huduma zingine
- Cargo Invoice hutumwa kwa mteja kupitia webapp/WhatsApp/email
Baada ya mteja:
- Kuhakiki invoice
- Kuthibitisha
- Kukamilisha malipo kulingana na masharti ya kampuni
Mzigo huandaliwa kwa safari.
STAGE SIX: Shipment Departure & Tracking
Mzigo huandaliwa kwa:
- Air Freight au
- Sea Freight
Masha Global Link itamjulisha mteja:
- Tarehe ya kuondoka (ETD)
- Makadirio ya kufika (ETA)
Mteja ataweza kufuatilia mzigo wake kupitia:
- Masha Global Link Tracking System
- Updates za mara kwa mara (status updates)
STAGE SEVEN: Arrival, Customs Clearance & Handling (Tanzania)
Mzigo unapofika Tanzania:
- Timu ya logistics hushughulikia:
- Port/Airport handling
- Customs clearance (kulingana na makubaliano ya mteja)
- Mteja hupokea Arrival Notice kupitia:
- Simu
- WhatsApp
- Notification ya mfumo
Endapo kuna tozo za mwisho (kama zipo), mteja hufahamishwa kabla ya kutoa mzigo.
STAGE EIGHT: Cargo Release & Final Delivery
Baada ya clearance:
- Mteja ana chaguo la:
- Kuchukua mzigo kwenye warehouse ya Masha Global Link
- Kupelekewa mzigo mpaka mlangoni (door delivery)
- Mteja husaini uthibitisho wa kupokea mzigo
Huduma inahitimishwa rasmi.
STAGE NINE: After-Sales Support
Baada ya delivery:
- Masha Global Link hutoa:
- Support kwa maswali
- Ushauri kwa oda inayofuata
- Huduma za group shipping na bulk orders
- Historia ya oda hubaki kwenye webapp kwa reference ya baadaye.